Alexis
Sanchez anatarajiwa kuwasili jijini London alhamisi kukamilisha mpango
wa uhamisho wenye thamani ya pauni milioni £30 wa kujiunga na Arsenal.
Mshambuliaji
huyo wa Barcelona atasafiri kuelekea huko akitokea nchini Hispania
kukamilisha mpango huo ikiwa nia pamoja na kumalizia mambo ya maslahi
yake binafsi na kufanyiwa vipimo vya afya yake.
No comments:
Post a Comment