Pages

Friday, July 25, 2014

RATIBA MSIMU MPYA 2014/15 LA LIGA YATOKA

Shirikisho la Soka Spain RFEF, limetangaza Ratiba ya La Liga kwa Msimu mpya wa 2014/15 na Vigogo, Real Madrid watakuwa Wenyeji wa Barcelona hapo Oktoba 26 kwenye Mechi ambayo huenda ikawa ya kwanza kwa Luis Suarez kwa Timu yake Barca baada ya kumaliza Kifungo chake cha Miezi Minne.
Ligi hiyo itaanza Wikiendi ya Agosti 23 na Mabingwa Watetezi, Atletico Madrid, wataanza na Rayo Vallecano.
Real Madrid na Barcelona zote zitaanzia Nyumbani kwa Real kucheza na Cordoba na Barca kuivaa Elche.
Tayari Real Madrid wamemsajili James RodriguezKwenye Ratiba ya ufunguzi, Sevilla watakuwa Nyumbani kucheza na Valencia ikiwa ni kama Marudiano ya Fainali ya EUROPA LIGI ya Msimu uliopita. 
Pia Wikiendi hiyo itakuwepo Dabi ya Jiji la Vila-real kati ya Levante na Villareal wakati Malaga wataanza na Athletic Bilbao ndani ya La Rosaleda.
Mechi ya Marudiano ya El Clasico itakuwa huko Camp Nou wakati Barcelona watakapoikaribisha Real hapo Machi 22, 2015.



LA Liga Opening Day Fixtures  - Confirmed
Date Match Time Venue
24 August Sevilla vs Valencia

24 August Levante vs Villarreal

24 August Barcelona vs Elche

24 August Granada vs Deportivo

24 August Rayo Vallecano vs Atletico Madrid

24 August Eibar vs Real Sociedad

24 August Real Madrid vs Cordoba

24 August Almeria vs Espanyol

24 August Malaga vs Athletic Bilbao

TOP MATCHES 2014-15 LA LIGA SEASON:
  • Real Madrid vs Barcelona – 26 October 2014
  • Barcelona vs Real Madrid – 22 March 2015
  • Barcelona vs Atletico - 11 January 2015
  • Atletico vs Barcelona - 17 May 2015
  • Real Madrid vs Atletico Madrid – 14 September 2014
  • Atletico vs Real Madrid – 08 February 2015

No comments:

Post a Comment