Pages

Friday, July 25, 2014

Nyota wa zamani wa Chelsea na Liverpool Yossi Benayoun akutana na kichapo cha Wa-palestina huko Austria


Uvamizi: Wavamizi wa Kipastina wakionekana kuwavamia wachezaji wa Maccabi Haifa.
Mtandao wa klabu ya Maccabi Haifa umechapisha taarifa iliyotolewa na nahodha wa klabu hiyo Yossi Benayoun akiandika maoni ya vurugu zilijitokeza katika mchezo wao wa maandalizi ya msimu mpya wa 2014/15 walipokuwa wakicheza dhidi ya Lille ya Ufaransa huko Austria Jana na kupelekea mchezo huo kuvunjika baada ya watu wanaodhaniwa kuwa ni Palestina walioko uhamishoni kuvamia uwanja na kuanza kuwachapa.
Benayoun amesema
'Tukiwa kama klabu ya soka tunalaani vitendo vyote vilivyojitokeza ima kwa maneno hata kwa kushikana.
'Yesterday (Jumatano) kuelekea dakika za mwisho za mchezo huo tulivamiwa na wahuni uwanjani kwasababu sisi ni tunatoka Israelis. Tulikuwa hatuna la kufanya isipokuwa ni kujilinda.'
Ugly scenes: Protestors attack the Maccabi Haifa players forcing the game to be called off early
Mbaya sana: Wavamizi wakimkabili wachezaji wa Maccabi Haifa wakitaka mchezo huo umalizwe mapema.
Brawl: Protestors and Maccabi Haifa players clash after the game is stopped
Vurugu: Wapingaji na wachezaji wa Maccabi Haifa wakipambana baada ya mchezo kusimamishwa.
Hitting back: Several Maccabi Haifa players were spotted fighting back after being attacked
Hili ni tatizo: Wachezaji wa Maccabi Haifa wakionekana wakijitetea baada ya uvamizi.
Tension: Pro-Palestinian supporters attacked the Maccabi Haifa players
Wakati huo Lille ilikuwa mbele kwa bao 2-0, wavamizi hao ambao wana asili ya Uturuki waliingia uwanjani na wakiwafuata wachezaji waMaccabi akiwemo nahodha wao Benayoun, ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea, Liverpool na QPR.
Mchezaji mmoja alionekana akimdhibiti shabiki mmoja kabla ya kumrushia konde zito..
Kocha wa Maccabi Aleksandar Stanojevic amekaririwa akisema alijikinga na konde la mvamizi wa kipalestina kabla ya mwamuzi hajamaliza mchezo huo.
Making their point: Supporters were seen with banners demanding the freedom of Palestine
Wakijipanga na mabango yao kabla ya kuingia uwanjani.Chanzo kinasema mabango yao yalikuwa na ujumbe wanataka Palestina Huru

Apprehended: A security guard manages to pull down one of the protestors
Afisa usalama mmoja akipambana na mvamizi mmoja.

No comments:

Post a Comment