Pages

Friday, July 18, 2014

Cesc Fabregas na mpenzi wake Daniella Semaan wafanya yao ufukweni Sardinia kabla ya kuanza msimu akiwa na Chelsea


Jua tamuFun in the sun: Cesc Fabregas na mpenzi wake Daniella Semaan wakifurahia mapumziko yao wakiwa na binti yao Lia
Kiungo wa zamani wa Arsenal alipata wasaa wa ku-enjoy mapunziko yake ya msimu akiwa na familia yake kabla ya kujiunga na klabu yake mpya ya Chelsea kwa maandalizi ya kuanza msimu mpya 2014/15.
Fabregas akiwa na mpenzi wake ambaye ndie mama wa watoto wake Daniella Semaan wakiwa na binti yao Lia walijitupa ufukweni Sardinia ufukweni wakiota jua la pwani na hata kufurahia maji ya bahari.


Blue: Cesc Fabregas signed for Chelsea from Barcelona for £30million on a five-year deal
Cesc Fabregas amesaini kujiunga na Chelsea akitokea Barcelona kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £30 kwa mkataba wa miaka mitano.
Wakati yeye akifanya yake, upande mwingine, Chelsea wakianza kwa ushindi wa mabao 5-0 katika mchezo wa kwanza kabisa wa pre-season na Wycombe.
John Terry na Branislav Ivanovic wote wakiingia kwenye kitabu cha mabao mchezo ambao nyota wa kesho yaani wachezaji vijana Patrick Bamford na Izzy Brown nao wakiandika mabao.
Kikosi cha kocha Jose Mourinho kitafungua msimu mpya Agosti 16 dhidi ya timu mpya katika ligi ya Premier, Burnley kabla ya kurejea nyumbani Stamford Bridge kwa mchezo dhidi ya timu nyingine ambayo nayo mpya katika msimu ya Leicester City.
Time for the beach: Cesc and Daniella soak up some rays with their young daughter Lia
Wasaa wa kujiachia: Cesc na Daniella wakilitega jua wakiwa na binti yao Lia


Moving on: Daniella Semaan left a millionaire husband in 2011 to be with Cesc Fabregas
Daniella Semaan kushoto aliachana na mumewe aliyekuwa milionea mwaka 2011 kwa ajili ya penzi la Cesc Fabregas, 'kupendwa ndio huku'.

No comments:

Post a Comment