Paris Saint-Germain, wakicheza Uwanja wa kwao Parc des Princes huko Paris, France, Usiku huu wameichapa Chelsea Bao 3-1 katika Mechi ya Kwanza ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI. ipindi cha kwanza Dakika ya 4 tu PSG walipata bao kupitia kwa Ezequiel Lavezzi na dakika ya dakika ya 27 Chelsea walisawazisha kupitia kwa Eden Hazard kwa mkwaju wa penati na kufanya 1-1. Penati hiyo imetokea baada ya Thiago Silva kumwangusha Oscar ndani ya eneo hatari la box.
Timu zimeenda mapumziko zikiwa sare ya bao 1-1, Kipindi cha pili dakika ya 61 PSG walipiga frii kiki na David Luiz akajifunga na kuizawadia PSG bao la pili na kufanya 2-1 dhidi yao Chelsea.
Dakika za majeruhi dakika ya 90′ +3 Javier Pastore amekatiza kwa mabeki na ndani ya box na kuwapachikia bao la tatu na la mwisho kwa kufanya 3-0 dhidi ya Chelsea. Hazard akimfunga kipa wa PSG kwa mkwaju wa penati..katika dakika ya 27.Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza Hazard baada ya kuwasawazishia bao na kufanya 1-1 katika kipindi cha kwanza dakika ya 27.Kocha wa zamani wa Chelsea na sasa Brazil (kushoto) Luiz Felipe ScolariEzequiel Lavezzi ndie alieanza kuwanyanyua mashabiki kwenye viti kwa kushangiliaEzequiel Lavezzi akishangilia bao lakeLavezzi akipetaChelsea walipata kusawazisha kwa mkwaju wa penati...Eden akiachia...Kipa wa PSG hakuona ndini yake ...bao ..1-1Chelsea walipongezana baada ya kusawazishaMchezaji wa Paris St Germain Zlatan Ibrahimovic kwenye patashika kuutafuta mpiraDavid alijifunga hapa na kufanya 2-1 baada ya PSG kupiga Frii kikiSafi wametupa bao....2-1Mtajiju!!! hii ni UEFA Champions Ligi, mnajifunga?? wachezaji wa PSG wakishangilia bao hilo la piliDavid Luiz kwenye matatizo!!!Kocha Jose Mourinho akitafakari kile kinachoendelea ugenini Ufaransa!!Zlatan Ibrahimovic chini baada ya kuumia Mchezaji alietoka Benchi, Javier Pastore, aliipa PSG Bao la 3 katika Dakika ya 90 baada ya kupokea Mpira wa kurushwa na kuwatoka Cesar Azpilicueta, Frank Lampard na John Terry kisha kupiga Shuti la chini chini na kumshinda Kipa Petr Cech.

No comments:
Post a Comment