MANCHESTER CITY 5 v FULHAM 0, YAYA TOURE APIGA HAT-TRICK!
Mapumziko Manchester City 1-0 dhidi ya Fulham kwenye uwanja wa Etihad.
Kipindi cha pili dakika ya 54 Yaya Touré akaiongezea bao la pili kwa mkwaju wa penati tena na likiwa bao la pili kwa Yaya Toure. Kwa sasa ni 2-0 dhidi ya Fulham.
Yaya Touré dakika ya 65 akafunga bao la tatu na kufunga (Hat-trick) kwa kufanya 3-0 dhidi ya Fulham.
Dakika ya 84 Fernandinho aliwapachikia bao la nne na kufanya 4-0 huku MartÃn Demichelis akimaliza mechi kwa kuwachabanga bao la mwisho katika dakika za lala salama dakika ya 88 na kufanya mtanagnge kumalizika kwa 5-0.
Post a Comment