FULL TIME: NEWCASTLE 0 v EVERTON 3, BARKLEY, ROMELU LUKAKU NA LEON OSMAN WAIPA USHINDI EVERTON NA KUIPANDISHA JUU!
Mchezaji
Ross Barkley anawapachikia bao Everton dakika ya 22 baada ya kukatiza
kuanzia katikati ya uwanja na kupitiliza hadi kwa mabeki wa Newcastle na
kufika kwenye box na kuachia shuti na kuifunga Newcastle.
Kwa sasa ni mapumziko, Everton wanaongoza bao 1-0.
Dakika ya 53 kipindi cha pili Romelu Lukaku anaipatia bao la pili Everton baada ya kupokea pasi kutoka kwa Gerard Deulofeu.

Dakika ya 88 Leon Osman anaipatia bao la tatu Everton baada ya kupata mpira kutoka kwa Romelu Lukaku.

Post a Comment