Pages

Sunday, March 16, 2014

ENGLISH PREMIER LEAGUE: HULL CITY 0 v MANCHESTER CITY 2, DAVID SILVA NA DZEKO WAIPATIA USHINDI CITY!

David Silva alt celeb Hull Man City
Mchezaji wa City David Silva akishangilia bao lake la dakika ya 14 kipindi cha kwanza, ambapo bao hilo lilidumu mpaka kipindi cha kwanza kilipomalizika. 
Kipindi cha pili dakika ya 90 Edin Dzeko akaipachikia bao la pili City na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Hull City. 
Mpira umemalizika kwa 2-0.
David SilvaVincent Kompany akichuana na Nikica Jelavic
Na Red ilikuwemo leo...
Nje!!Kocha wa City akilalamika kwa mwamuzi wa pembeni mshika kibendera David Silva akiachia shuti kaliMpaka nyavuni...Kocha Hull City Steve Bruce hoi...Edin Dzeko akimfunga kipa wa Hull katika dakika za lala salama.Nini tena kwa kipa Joe Hart!!???Wakipandishiana!!Kula Njano kwanza mpira ni furaha..!Dzeko akitupia...Dzeko akishangilia bao lake na la mwisho.

No comments:

Post a Comment