Pages

Friday, March 14, 2014

ANDY MURRAY AONDOLEWA KAIKA RAUNDI YA NNE, MJINI INDIANA WELLS. MILOS RAONIC NDIYE ALIYEMG'OA!

Muingereza Andy Murray ambaye ni bingwa wa mashindano ya Tennis ya Wimbledon ameondolewa katika raundi ya nne mashindano ya tennis ya BNP Paribas yanayoendelea, mjini Indiana Wells, Carlifonia.
Murray alishindwa kwa seti tatu kwa moja na Milos Raonic ambaye ameorodheshwa kama mchezaji wa kumi bora katika mashindano hayo.
Unexpected: Raonic pumps his fist after winning the second set against MurrayRaonic, kutoka Canada mwenye umri wa miaka 23, amefuzu kwa robo fainali ya mashindano kufuatia ushinda wake wa seti tatu kwa moja za 4-6 7-5 6-3.
Struggling: Murray has never won the tournament at Indian WellsMurray alionekana kuchanganyikiwa katika seti ya pili, na kwa wakati mmoja alizozana na refa wa mechi hiyo kuhusu mahala ambapo camera ya video inapaswa kuwekwa.
Baada ya mech hiyo Murray alikiri kuwa hakuwa na anajiaamini na alikuwa na wasi wasi kuhusu hali yake baada ya kupoteza nafasi mbili za wazi ambazo zilifanya mpinzani wake kumshinda.

Aces: Raonic rattled Murray all through the tie with his huge serve, a weapon Murray couldn't matchMilos Raonic ambaye alimshinda Andy Murray

No comments:

Post a Comment