Pages

Saturday, February 1, 2014

MKUTANO WA WADAU WA MASUMBWI WAFANYIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akifuatilia kwa makini mkutano wa wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi kulia ni bondia Sadiki Momba na Fabian Limo na mdau Maga kutoka Tegeta

Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu anae ongea ni Yasin Abdallah  kushoto ni Habibu Kinyogoli anaefati ni mwakilishi wa BMT Rais wa IBF Afrika Onesmo Ngowi na Lucas Retwainura

WADAU WALIOJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASUMBWI


No comments:

Post a Comment