Pages

Saturday, February 1, 2014

BONANZA LA MICHEZO LA JAMBO BUKOBA LAFANA

Mageni Rasmi alikuwa ni Mheshimiwa mkuu wa mkoa kanali mstaafu Fabian Inyasi Massawe(kulia) na hapa alikuwa anateta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mheshimiwa Zipporah Pangani. Baada ya Bonanza hilo kufunguliwa Rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Na Faustine Ruta, Bukoba.
Bonanza hili Lilianza kwa Maandamano(Marching to Kaitaba Stadium) ambapo ndipo Bonanza hilo limefanyikia tangu Asubuhi mpaka mchana. Bonanza hili pia lilishirikisha Shule mbalimbali za hapa Mkoani Kagera. Ambapo wanafunzi hao wamefanya maonesho mbalimbali kama, Ngoma, Michezo ya Bonanza, Sarakasi(Gymnastics) Mpira wa Miguu wasichana kwa wavulana. Pia kulikuwa na Kikundi cha Kakau Band cha hapa Bukoba. Zawadi na Vyeti vimetolewa kwa washindi. kumbuka Jambo Bukoba is a charitable organization which supports children and young people (mainly between the age of 5 and 19) in the field of healthcare (HIV), equality (equal rights) for girls , education and sports.
Mageni Rasmi alikuwa ni Mheshimiwa mkuu wa mkoa kanali mstaafu Fabian Inyasi Massawe (kulia) akiteta na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mheshimiwa Zipporah Pangani
Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Inyasi Massawe, akiteta na umati uliokuwa hapo Uwanjani Kaitaba na kufungua Bonanza hilo rasmi.

Taswira
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Karwoshe wakiingia kutumbuiza kwa Ngoma
Kulia ni Mr. Clemens Ndyetabura Mulokozi, Mwanzilishi wa Taasisi ya Jambo Bukoba,Anayefata ni Mr. Gonza wakifurahia ngoma hiyo ya Utamaduni kutoka kwa wanafunzi hao wa Shule ya Karwoshe Furaha ikakolea!!
Mr. Clemens Mulokozi na Mr. Gonza....mambo safi Kakau Band Bukoba wanasifika kwa kuachia Burudani hapa Bukoba na kwingineko..

Kakau Band wakinyonga nyonga muziki wao na kuwapa burudani wadau wao!
Kutoa Burudani...ni kazi yetu ...acha tufanye!!
Wana Kakau Band wakendelea kufanya kilichowaleta uwanjani


Pongezi hapa!
Mzungu akishuhudia Mzungu mwenzake akijiachia na Ngoma ya Kibukoba ...Kakau!!

Tuanze jamani msiniache kistep!


Nimeweza au??? Mzungu wa Ugerumani akiiga kucheza ngoma na wana Kakau Uwanjani Kaitaba.



Ikawa ni full kujichanganya!!!

kulia ni Bw. Clemens Ndyetabura Mulokozi akicheza na baadhi ya wanafunzi kwenye uwanja wa Kaitaba wakati wa Bonanza la Jambo Bukoba.
Usipime hapa!!
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Inyasi Massawe hakuishia hapo!! aliendelea kusakata mchezo!
Mzungu kutoka Ujerumani akiendesha!!
Mchezo wa Sarakasi(Gymnastics) ulikuwepo  na umetendewa haki na wanafunzi. Baadhi ya wanafunzi wakishuhudia sarakasi mchana kweupe!!
Sarakasi ilianza kama mchezo mchezo!!
Sarakasi ikiendelea..

Patashika juu kwa juu wanafunzi wakaenda hewani!
Weka mbali na watoto!!!

No comments:

Post a Comment