Pages

Friday, January 3, 2014

WAAMUZI 11 WAPATA BEJI ZA FIFA HAKUNA MWANAMKE ALIYEPATA

 
Baadhi ya waamuzi waliopata beji leo, kutoka kulia ni Fernand Chacha, Oden Mbaga, Israel Mujini na Hamis Chang'walu
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limewapatia beji waamuzi kumi wa Tanzania kwa mwaka 2014.

Waamuzi wa kati waliopata beji hiyo ni Ramadhan Ibada, Oden Mbaga, Israel Mujuni na Waziri Sheha.

Waamuzi wasaidizi ni Josephat Bulali, Ferdinand Chacha, Hamis Changwalu, John Kanyenye, Ali Kinduli, Erasmo Jesse na Samuel Mpenzu.

No comments:

Post a Comment