Pages

Friday, January 3, 2014

SAIDI MBELWA ALIPIZA KISASI KWA KO CHA AMBOKILE CHUSA


Bondia Said Mbelwa  kushoto akimchachavya Amokile Chusa wakati wa mpambano wao wa kufungua mwaka Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na Chusa hivyo kulipiza kisasa kwa K,O ya raundi ya tano
Mabondia Ambokile Chusa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao wa kushelekea mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Zulu Paradise Pugu Kirumba. Mchanjo alishinda kwa pointi. Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano hii ni mara ya pili kukutana ambapo mara ya kwanza mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na Chusa.
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wakutupiana makonde na Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa
Zulu Paradise Pugu Kirumba. Mchanjo alishinda kwa pointi
Bondia Twaribu Mchanjo (kushoto) akimshambulia Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa Zulu Paradise Pugu Kirumba. Mchanjo alishinda kwa pointi
Bondia Shabani Mtengela akiwa chini oi baada ya kupewa konde zito na Twalibu Mchanjo

No comments:

Post a Comment