Pages

Thursday, January 2, 2014

REAL MADRID YAIFUNGA PARIS SAINT-GERMAIN 1-0 KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI

Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana baada ya  Jese kuwafungia bao huko Doha. Jese  akipongezwa katika dakika ya 19 kipindi cha kwanza
Real deal: Jese (second right and below) celebrates with team-mates after scoring the decisive goal Jese baada ya kuzifuma nyavu
Zlatan Ibrahimovic akiendesha mpira katika ungwe ya kipindi cha kwanza.Winter warmer: Ibrahimovic and Ronaldo (below) were two of the stars on show Cristiano Ronaldo kwenye patashika
Heads up: Ibra leaps to beat Ronaldo to a header during the friendly encounter in Doha
Ibra na Ronaldo wakiwa kwenye kasi kuusaka mpira wa kichwa huko Doha leo kwenye mchezo wa Kirafiki


Speed merchant: Ronaldo cuts past his PSG opponents in the match the Spaniards edged by one goal
Ronaldo kwa upande wake timu yake imeweza kuwabana licha ya PSG kupata nafasi nyingi na kutoweza kufunga goli
VIKOSI:
PARIS SAINT-GERMAIN: Sirigu, Van der Wiel (Ongenda 73), Thiago Silva, Alex (Marquinhos 45), Digne (Maxwell 45), Matuidi (Camara 73), Thiago Motta (Rabiot 62), Verratti (Pastore 62), Cavani (Menez 61), Ibrahimovic (Coman 73), Lavezzi (Lucas Moura 45)
Subs not used: Douchez, Maignan, Jallet, Atlan, Diaw
Real Madrid: Lopez (Fernandez 45), Arbeloa (Llorente 45), Ramos (Pepe 45), Nacho (Marcelo 45), Casado (Carvajal 45), Alonso (Jaime 45), Illarramendi (Modric 45), Rodriguez (Casemiro 45), Jese (Di Maria 45), Morata (Benzema 45), Ronaldo (Isco 45)
Subs not used: Mejias
Goal: Jese 19

No comments:

Post a Comment