Pages

Thursday, January 2, 2014

CARDIFF CITY YATEUA OLE GUNNER SOLSKJAER KUWA MENEJA WAO MPYA


KLABU ya Cardiff City imethibitisha kumteua Ole Gunner Solskjaer kuwa meneja mpya wa klabu hiyo. Solskjaer anachukua nafasi ya mikoba ya Malky Mackay ambaye alitimuliwa na mmiliki wa klabu hiyo ya Wales Vincent Tan. Toka kutimuliwa kwa Mackay, David Kerslake ndiye aliyepewa mikoba ya muda ya kuinoa klabu hiyo na kuingoza kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Sunderland na baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Arsenal.Akihojiwa mara baada ya uteuzi huo Solskjaer ambaye alikuwa mshambuliaji wa zamani wa Manchester United amesema hiyo ni changamoto mpya kwake na anategemea kuisaidia Cardiff kupiga hatua nyingine.Malky Mackay (kulia) aliyetimliwa hivi karibuni.

New man: Ole Gunnar Solskjaer poses with Cardiff City's home shirt after being confirmed as the club's new manager on Thursday
Ole Gunnar Solskjaer akipozi kupata picha na jezi ya Cardiff City baada ya kutambulishwa rasmi huku wadau wengi wakishangaa uteuzi huo!
Fresh start: Solskjaer speaks to the media after being appointed on a rolling contract at Cardiff
Solskjaer akiteta na waandishi wa habari na vyombo vya habari leo baada ya uteuzi wake kwa kuinoa Cardiff
Looking ahead: Solskjaer is aiming to get Cardiff playing attacking football after joining the Welsh side
Solskjaer yeye amefurahia uteuzi huo
Wise words: Solskjaer (right) says Sir Alex Ferguson, his manager at Manchester United, did not try and talk him out of taking the job
Enzi hizo: Solskjaer (kulia) akiwa na kocha wa zamani wa United Sir Alex Ferguson.
Glory days: Solskjaer says working under Ferguson at Manchester United moulded him into the manager he is now
Solskjaer akiwa chini ya Ferguson enzi hizo huko Manchester United

No comments:

Post a Comment