Pages

Monday, January 27, 2014

MABONDIA WA KIKE WAONYESHA UWEZO WAO ULINGONI

Mabondia wa kike wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde walipokuwa wakicheza mchezo huo jana kushoto ni Halima Ramadhani na Zulfa Macho mchezo huo ulifutia mashabiki wengi waliojitokeza Macho alishinda kwa pointi
Bondia Halima Ramadhani akitafuta njia ya kumpiga mwenzie ngumi Zulfa Macho wakati wa mpambano wao jana

Bondia Zulfa macho akimpiga mpinzani wake Halima Ramadhani ngumi ya kolomelo wakati wa mchezo wao uliofanyika Dar es salaam jana macho alishinda kwa pointi

Bondia Idd Athumani akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Shabani Madilu wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Athumani alishinda kwa pointi

Bondia Mussa Chitepete akimrushia ngumi bondia Ramadhani shauli wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika jana Shauli alishinda kwa K,O ya raundi ya saba baada ya refarii kumtoa nje ya mchezo chitepete

Bondia Mussa Chitepete akioneshana umwamba wa kutupia ngumi na bondia Ramadhani shauli wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika jana Shauri alishinda kwa KO ya raundi ya saba baada ya refarii kumtoa nje ya mchezo Chitepete

No comments:

Post a Comment