Pages

Saturday, January 25, 2014

FA CUP: ARSENAL YAIFUNGA COVENTRY 4-0, LUKAS PODOLSKI AFUNGA BAO MBILI, OLIVIER GIROUD NA SANTI CAZORLA MOJA MOJA NA KUISOGEZA GUNNERS RAUNDI YA TANO


Podolski akishangilia bao lake hapaTaswira watu walivyokuwa wanaingia uwanjani Emirate usiku huu
Akishangilia kimya kimya!!Arsenal wapo mbele kwa bao 2-0 Dhidi ya Coventry City, Mabao yote mawili yakifungwa kipindi cha kwanza na Mchezaji mmoja wa Gunners Lukas Podolski katika dakika ya 15 na bao la pili akilifunga katika dakika ya 27. Kipindi cha pili pamoja na timu ya Coventry City kufanya vizuri wameishia kufanya vibaya baada ya kupoteza nafasi kadhaa katika lango la Arsenal huku shuti moja likigongo posti ya goli na mashuti mengine kutoka nje. Bao mbili tena za Arsenal zimefungwa katika dakika tano za mwishoni baada ya mchezaji Olivier Giroud kuifungia bao katika dakika ya 84 na Santi Cazorla akiwapachikia bao la mwisho katika dakaka za lala salama katika dakika ya 89.
At the double: Podolski made it two for him and the team with a back post header from a corner
Podolski akijifungia bao lake la pili leo kwenye mtanange wa FA Cup raundi ya nne ambapo Arsenal wameshinda kwa bao 4-0 na kutinga raundi inayofuata ya tano.
Easy does it: The Frenchman winks at team-mates after his goal
Akishangilia bao lake..
At it again: Santi Cazorla roudned off the night in style with a fourthKama kawaida kwa Santi Cazorla na hapa alikuwa akishangilia bao lake la nne kwa Gunners.

Mashabiki wa Coventry na mabango yao wakimtaka mmiliki wa timu hiyo Sisu kuwajibika.

Mesut Ozil akiparangana na Leon Clarke (katikati) huku John Fleck akinyatia kwa karibuBao la pili
VIKOSI:
ARSENAL 4231: Fabianski 6; Jenkinson 6, Koscielny 6, Mertesacker 6, Gibbs 7; Oxlade-Chamberlain 6 (Zelalem 69, 5), Wilshere 7; Gnabry 6, Ozil 7, Podolski 8 (Giroud 79); Bendtner 5 (Cazorla 69, 7).
SUBS: Viviano, Monreal, Sagna, Flamini.
BOOKINGS: Wilshere.
MANAGER: Arsene Wenger 7
COVENTRY 4411: Murphy 6; Christie 5, Webster 6, Seaborne 6, Adams 6; Baker 7, Thomas 6, Fleck 6, Daniels 5; Moussa 6; L.Clarke 6.
SUBS: Burge, Slager, Barton, Phillips, Willis, J.Clarke, Haynes.
MANAGER: Steven Pressley 6
MOM: Lukas Podolski.
REFEREE: Bobby Madley 6
ATT: 59, 451

No comments:

Post a Comment