Pages

Thursday, January 30, 2014

CHAN 2014: FAINALI NI LIBYA vs GHANA, FEBRUARI 1 KWENYE UWANJA WA CAPE TOWN STADIUM - SOUTH AFRICA.

Ghana wametinga Fainali ya CHAN2014 baada ya kuibwaga Nigeria kwa Mikwaju ya Penati 4-1 kufuatia Sare ya 0-0 baada Dakika 120 kwenye Mechi iliyochezwa Jana huko Free State Stadium, Nchini Afrika Kusini.Wachezaji wa Ghana wakifurahia ushindi.Mashabiki Nigeria.Nigeria wamefungwa kwa mikwaju ya penati...kutafuta nafasi ya mshindi wa tatu na Zimbabwe jumamosi kwenye uwanja wa Cape Town Stadium Africa Kusini.
RATIBA/MATOKEO
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
Zimbabwe 0 Libya 0 (Pia 0-0 Baada Dakika 120, Libya yashinda Penati 5-4)
21:30 Ghana 0 Nigeria 0 (Pia 0-0 Baada Dakika 120, Ghana yashinda Penati 4-1)
Jumamosi Februari 1
Mshindi wa Tatu
18:00 Zimbabwe v Nigeria (Cape Town Stadium)
Fainali (Cape Town Stadium)
21:00 Libya v Ghana

No comments:

Post a Comment