MANCHESTER CITY YAIFUNGA LIVERPOOL 2-1 KUSHIKA NAFASI YA PILI EPL
Chezea City wewe: Kompany (kati) akishangilia baada ya kusawazisha bao hilo kipindi cha kwanza
Philippe Coutinho akiendesha mpira baada ya kuachiwa na Raheem Sterling nakisha kuwapa bao Liverpool
Suarez akikimbizwa na Lescott pamoja na Yaya Toure
Chupuchupuu: Raheem Sterling aliachia mpira na mpira huo ukagonga posti ya goli kwa juu
Luis Suarez juu kwa juu na Joleon Lescott
City captain Vincent Kompany akidhihirisha kwamba yeye ni beki hapa!!
Negredo akiwawasha Majogoo bao la pili
Kipa Mignolet hakuona ndani chuti la Negredo.
VIKOSI:
Man City: Hart 7, Zabaleta 6, Kompany 7, Lescott 7, Kolarov 5, Y Toure 6, Fernandinho 7, Navas 8, Silva 7 (Garcia, 86), Nasri 6 (Milner 71, 6), Negredo 8 (Dzeko 76).
Subs not used: Pantilimon, Clichy, Boyata, Nastasic.
Goals: Kompany 30, Negredo 45
Booked: Zabaleta 80
Liverpool: Mignolet 6, Johnson 6, Sakho 7, Skrtel 6, Cissokho 5; Lucas 6 (Aspas, 81), Sterling 7, Henderson 7, Allen 6, Coutinho 6 (Moses, 67), Suarez 7.
Subs not used: Jones, K Toure, Agger, Alberto, Smith.
Goal: Coutinho 23.
Booked: Johnson, Moses, Suarez..
Man of the match: Jesus Navas.
Referee: Lee Mason 7.
Attendance: 47,351.
Post a Comment