Pages

Tuesday, December 17, 2013

MANCHESTER CITY YAIFUNGA LEICESTER 3-1 KWENYE CAPITAL ONE CUP, CHELSEA YATOLEWA NA SUNDERLAND KWA KUFUNGWA 2-1

KOMBE la CAPITAL ONE CUP, leo Jumanne na kesho Jumatano litakuwa na Mechi zake za Robo Fainali.
USIKU huu Jumanne ni Leicester City, Timu inayocheza Daraja la Championship, kuwa Wenyeji wa Vigogo wa Ligi Kuu England, Manchester City, na Mechi ya pili ni ya Timu za Ligi Kuu England huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Chelsea.

Wachezaji wa Manchester City wakipongezana na kumpongeza Aleksandar Kolarov 8 baada ya kuwafungia bao mapema dakika ya 8.
Edin Dzeko ameifungia bao la pili dakika za lala salama dakika ya 41 nakufanya 2-0 na kwenda mapumziko City wakiwa vifua wazi kwa bao 2.
Dakika ya 53 Edin Dzeko akafunga tena bao jingine la tatu.  Dzeko akishangilia baada ya kuiua Leicester bao la tatu na kufanya 3-0
Advantage doubled: Dzeko is congratulated after scoring Man City's second goal of the night
Dzeko akipongezwa na baada ya kufunga bao
Brace: Dzeko places the ball past Leicester defender Ignasi Miquel to double his goal tally
Dzeko akiachia shuti kali lililompita beki Ignasi Miquel na kunyookea langoni Consolation: Leicester wideman Lloyd Dyer rifles the ball home with thirteen minutes of the game to go
Lloyd Dyer akifunga bao lao la pekee kipindi cha pili dakika ya 77 na mpira kumalizika kwa 3-1
Frank Lampard/Lee Cattermole kwenye patashika kwenye lango la Sunderland
Lee Cattermole alipojifunga dakika ya 46 na chelsea kuzawadika kwa bao hilo lililodumu kwa muda

Askari akianguka chini baaja ya kushindwa kukamata jamaa aliyeingia kifua wazi uwanjani

Shabiki alishangilia kama vile yeye kafunga bao...

Jose Mourinho na Gus Poyetwakabaki wanacheka kwa muda!! baada ya kushuhudia shabiki hilo likishangilia na kuona kama linamwongezea giza mzee Mourinho...

Dakika za majeruhi dakika ya 88 Fabio Borini akaisawazishia bao Sunderland na mtanange kuwa 1-1 na mpira kumalizika na kuongezewa muda wa dakika 30. Dakika za mwishoni za dakika za nyongeza 30 mchezaji wa Sunderland Sung-Yong Ki akaimaliza Chelsea kwa shuti lake na Chelsea kulala kwa bao 2-1.Balaa!!!!Majanga!!!  Sung-Yong Ki (kulia) baada ya kufunga bao dakika za majeruhi za nyongeza za dakika 120 na jezi yake akifurahia baada ya kuimaliza Chelsea usiku huu.

ROBO FAINALI
Jumanne Desemba 17
Leicester 1 v Man City 3
Sunderland 2 v Chelsea 1



LEO Jumatano Desema 18
Stoke City v Manchester United
Tottenham v West Ham United

No comments:

Post a Comment