Pages

Saturday, December 21, 2013

LIVERPOOL YAIFUNGA CARDIFF CITY 3-1,SUAREZ AFUNGA MAWILI BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA LEO


Raheem Sterling 42' • Luis Suárez 45'Luis Suárez 25'
Luis Suarez ameipandisha Liverpool hadi kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kufunga Bao 2 katika ushindi wao wa Bao 3-1 dhidi ya Cardiff City ambayo imekumbwa na mgogoro mkubwa kati ya Meneja wake Malky Mackay na Mmiliki wake Vincent Tan kutoka Malaysia.
Bao jingine la Liverpool lilifungwa na Raheem Sterling baada ya kutengenezewa na Suarez.

Mambo magumu kwa kocha wa Cardiff Malky MackayUshindi huu umewafanya Liverpool wakamate usukani wa Ligi wakiwa Pointi 1 mbele ya waliokuwa Vinara Arsenal ambao wana Mechi moja mkononi watakayocheza Uwanjani kwao Emirates Jumatatu Usiku na Chelsea.Vincent TanGlen Johnson kwenye patashika kuutafuta mpiraMackay akitoa maelekezo kwa timu yake mbele ya mashabikiPhilippe Coutinho akifanya mambo yakeLuis Suarez akionesha kiwango chake hapaChezea Suarez wewe!Majanga....Suarez akishangilia baada ya kuiua CardiffSuarez akituma salaam kwa mashabikiMackay kazi unayoooo!!Raheem Sterling akifanya 2-0mpaka nyavuni...Muda mbona unakimbia sana...Wauaji leo!! Kidogo leo nitupie Hat-trick..Kimenuka!!Rafiki yangu mambo vipi!!!Sterling chini...

Kibarua kisipoota majani leo sijuhi...Raha sina leo ...mashabiki nao ndio hivyooo!!!

No comments:

Post a Comment