Pages

Thursday, December 19, 2013

LISTI YA FIFA YA UBORA WA SOKA DUNIANI: SPAIN BADO INANYANYASA...BADO IPO JUU. TANZANIA IKIPANDA NAFASI 4 JUU YA 120


LISTI YA FIFA YA UBORA DUNIANI iliyotolewa leo bado ina Mabingwa wa Dunia, Spain, kama ndio Nambari Wani na wapo hapo kwa Mwaka wa Sita mfululizo.
Tanzania imepanda Nafasi 4 na sasa ipo Nafasi ya 120 huku Ivory Coast bado ikiendelea kukamata Nafasi ya 17 ikiwa ndio Timu ya Juu kabisa toka Barani Afrika.

Listi nyingine ya Ubora itatolewa Tarehe 16 Januari 2014.
20 BORA:
1  - Spain
2  - Germany
3  - Argentina
4  - Colombia
5  - Portugal
6  - Uruguay
7  - Italy
8  - Switzerland
9   - Netherlands
10  - Brazil
11   - Belgium
12  - Greece
13  - England
14  - USA
15   - Chile
16  - Croatia
17  - Côte d'Ivoire
18  - Ukraine
19  - Bosnia and Herzegovina
20  - France
TANZANIA ILIPO:
116    Malawi
116    Latvia
118    Mozambique
119    Sudan
120    Tanzania
121    New Caledonia
121    Lebanon

No comments:

Post a Comment