Pages

Tuesday, December 31, 2013

FRANCIS MIYEYUSHO KUWAPA RAHA WATANZANIA LEO?

Bondia Joshua Amukulu (kushoto) kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu

Bondia Kalama Nyilawila kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola  baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu
Bondia Fransic Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake  Joshua Amukulu kutoka Kenya utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu

BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA MKENYA JOSHUA AMULU UTAKAOFANYIKA DESEMBA 31 KATIKA UKUMBI WA MSASANI KLABU 


Bondia Ibrahimu Class 'king Class Mawe'  kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto  baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE AKIP[IMWA AFYA
 IDDY MNYEKE AKIPIMWA AFYA YAKE

No comments:

Post a Comment