Pages

Tuesday, December 24, 2013

ENGLISH PREMIER LEAGUE: ARSENAL 0 v CHELSEA 0, BLUES NA GUNNERS WATOSHANA NGUVU EMIRATES, MOURINHO ADUMISHA REKODI MBELE YA WENGER; LIVERPOOL WAKIBAKI KILELENI


Leo kwenye Dabi ya Jiji London Arsenal wakichezea kwenye uwanja wao Emirates kuwakaribisha timu ya Chelsea wametoshana nguvu ya bila kufungana huku timu zote zikiandamana pasipo kuliona lango la mwenzake, Huku Arsenal ikiwania ushindi kurudi tena kileleni mwa Ligi Kuu England wameshindwa kufunga na hatimaye kukwama kurudi kileleni kwa sare hiyo. Timu zote zimejitahidi vya kutosha lakini ufundi wa kuweza kuifunga timu nyingine ulikosa na umakini wa kuweza kukatiza mabeki ulikuwa finyu kwa timu zote.Arsene Wenger na Jose Mourinho wakisalimiana hapa kwa kupeana mikono kweupe Emirates. Sare hii inawabakisha Liverpool Kileleni wakiwa na pointi 36 na Arsenal nafasi ya pili wakiwa na pointi 36 wakitofautina magoli ya kufunga. Nafasi ya tatu ni Manchester City wenye pointi 35 wakifuatiwa na wenye pointi 34 sawa na timu ya tano Everton wakitofautiana magoli.Stop there: Eden Hazard is chased by Arsenal midfielder Aaron Ramsey
Eden Hazard akitaka kumtoka Aaron RamseyLampard akipaisha mpira juu ya lango la Arsenal
High jump: Fernando Torres jumps for the ball in the Chelsea penalty area
Fernando Torresakiruka juu kuona kama ataziona nyavu za Arsenal

Getting the cross in: Gary Cahill vies with Arsenal striker Olivier Giroud
Gary Cahill na  Olivier Giroud kwenye patashika..


Up close and personal: Lampard gets in tight on Mesut Ozil
Lampard na Mesut Ozil hawakupeana nafasi hii leo!!
Wachezaji wa  Arsenal wakitofautina na wenzao Chelsea  Emirates
Ozil akimkaba Torres kipindi cha kwanzaSantas wa Chelsea wakililia pointi tatu muhimu kwenye uwanja wa Emirates usiku huu. Kieran Gibbs wa Gunners akinyemelewa na Willian nyuma..
...Kama kipa vile nasubiri mpira langoni!!!Torres chupuchupu afunge!Helping hand: Mourinho helps pick Sagna up after the Lampard tackle
Mourinho akimpa msaada wa kumyanyua juu Sagna baada ya kupewa kigingi na Lampard
Tough tackle: Frank Lampard goes in for a tackle with Arsenal's Bacary Sagna
Frank Lampard na Bacary Sagna chini Kuna muda Joes Mourinho alipaki kimyaaaa akijiuliza kunani hapa Emirates!Theo walcott akionesha kiwangoWalcott akimfanyia ndivyo sivyo Cesar Azpilicueta... Torres nao na Per Mertesacker majanga chini.....Bora Sare kuliko kufungwa!! Lampard na John Terr wakiwasalimia mashabiki baada ya mpira kumalizika kwa sare!

VIKOSI:
Arsenal: Szczesny 6, Sagna 7, Mertesacker 7, Vermaelen 7, Gibbs 7, Ramsey 6, Arteta 7, Walcott 6, Ozil 6, Rosicky 6, Giroud 6.
Subs: Podolski, Monreal, Cazorla, Flamini, Fabianski, Bendtner, Jenkinson.
Chelsea: Cech 6, Ivanovic 7, Cahill 7, Terry 7, Azpilicueta 7, Mikel 6, Lampard 7, Ramires 6, Willian 6, Hazard 7, Torres 6.
Subs: Cole, Luiz, Mata, Oscar, Schurrle, Schwarzer, Eto'o.
Referee: Mike Dean
 
 
MSIMAMO ULIVYOBAKIA BAADA YA KUMALIZA RAUNDI YA 17
Pos.Logo &TeamPWDLGDPts
1LiverpoolLiverpool1711332336
2ArsenalArsenal1711331636
3Manchester CityManchester City1711243135
4ChelseaChelsea1710431434
5EvertonEverton179711334
6Newcastle UnitedNewcastle United17935230
7Tottenham HotspurTottenham Hotspur17935-530
8Manchester UnitedManchester United17845828
9SouthamptonSouthampton17665424
10Stoke CityStoke City17566-421
11Swansea CitySwansea City17557020
12Hull CityHull City17557-620
13Aston VillaAston Villa17548-619
14Norwich CityNorwich City17548-1419
15Cardiff CityCardiff City17458-1217
16West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion17377-516
17West Ham UnitedWest Ham United17359-814
18Crystal PalaceCrystal Palace174112-1613
19FulhamFulham174112-1713
20SunderlandSunderland

No comments:

Post a Comment