Pages

Sunday, December 29, 2013

CHELSEA ILIPOIFUNGA LIVERPOOL 2-1 KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE

Leo Samwel Eto'o ameibuka Shujaa wa Stamford Bridge alipofunga Bao la ushindi wakati Chelsea ilipotoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuitwanga Liverpool Bao 2-1 wakati huko White Hart Lane Tottenham waliicharaza Stoke City Bao 3-0.
Liverpool walitangulia kufunga katika Dakika ya Tatu tu baada ya Frikiki ya Coutinho kuunganishwa wavuni na Martin Skrtel lakini Dakika 14 baadae Shuti la Eden Hazard lilifanya Chelsea iwe Sare 1-1.
Gwiji la Cameroun, Samuel Eto’o, ndie aliefunga Bao la Pili na la ushindi baada ya kazi njema ya Oscar kwenye Winga ya Kulia.

Kipindi cha Pili, Mamadou Sakho alipiga posti kwa kichwa na Liverpool watarudi kwao wakijuta ‘kunyimwa’ Penati mbili kufuatia kuvaana na John Terry na Eto'o.Suarez kwenye patashika kuutafuta mpira...Petr Cech akiangalia nyavu zake zikitingishwa na Liverpool
Martin Skrtel ndie mtingisha nyavu...Martin Skrtel akishangilia bao lakeMartin Skrtel akipeta baada ya kuzifuma nyavu za Blues...Wachezaji wa Liverpool wakimpongezaKipa wa Liverpool Simon Mignolet nae alikipata kutoka kwa Eden HazardEden akishangilia bao lake mbele ya mashabiki wa Blues!Wakipongezana Blues baada ya kusawazisha bao hilo la Eden HazardHoward Webb akiteta na Luis Suarezakipokea maneno ya msingi kutoka kwa mwamuzi WebbSuarez baada ya kukanywa alionekana kama kapotea vile.........Aaaaaaaaaaaaaaaaaah!! unacheka!Cesar Azpilicueta kwenye mbio na SuarezMzee vipi tena!!! mbwembwe au..!wote wakiuchungulia!
MATOKEO:
Jumapili Desemba 29

Everton 2 v Southampton 1
Newcastle 0 v Arsenal 1
Chelsea 2 v Liverpool 1

 Tottenham 3 v Stoke 0

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU SITA ZA JUU 
2013-2014 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 19 13 3 3 37 18
6 2 1 16 6
7 1 2 21 12
19 42
2 Manchester City 19 13 2 4 54 21
10 0 0 38 6
3 2 4 16 15
33 41
3 Chelsea 19 12 4 3 35 19
9 1 0 22 8
3 3 3 13 11
16 40
4 Everton 19 10 7 2 31 18
6 3 1 19 9
4 4 1 12 9
13 37
5 Liverpool 19 11 3 5 44 23
8 0 1 25 6
3 3 4 19 17
21 36
6 Manchester United

No comments:

Post a Comment