Pages

Saturday, November 16, 2013

UKRAINE 2 FRANCE 0, BEKI LAURENT KOSCIELNY NA OLEKSANDR KUCHER WATOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU!! MAMBO MAGUMU KWA FRANCE!

UKRAINE 2 v FRANCE 0 

Bao za Roman Zozulya, Dakika ya 61, na Andriy Yarmolenko, Penati Dakika ya 83, zimewapa ushindi Ukraine wa Bao 2-0 walipocheza na France huko Kiev hapo Jana.
Hili ni pigo kubwa kwa France ambao sasa wako hatarini kuzikosa Fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika Miaka 20
Katika Dakika za Majeruhi Beki wa France Laurent Koscielny na Oleksandr Kucher walitolewa kwa Kadi Nyekundu.
Uso kwa uso!!! Koscielny na Yevhen Konoplyanka wakipandishiana uwanjani!
Red mist: Kucher lies on the ground after clash with Koscielny
Nae Mchezaji  Kucher alielala chini baada ya patashika kati yake na Koscielny alipewa kadi nyekundu!!
Off you go: Koscielny is shown a red card by referee Cuneyt Cakir from Turkey
Koscielny akipewa kadi nyekundu na Mwamuzi wa matanange huo Cuneyt Cakir kutoka Turkey
Cool head: Ukraine's Roman Zozulia (C) controls the ball before scoring
Mchezaji wa Ukraine Roman Zozulia katikati akiendesha mpira
Goal-den wonder: Ukraine's Roman Zozulya celebrates after scoring
Mchezaji wa Ukraine Roman Zozulya akishangilia baada ya kufunga bao lake!!
Crowded out: France's Olivier Giroud attracts attention of two defenders
Patashika nguo kuchanika!  Olivier Giroud akikabwa na mtu mbili hapa!!
France's forward Olivier Giroud challenges Ukraine's defender Yevhen Khacheridi (back)
Olivier Giroud akikabwa vikali kuwania mpira dhidi ya Yevhen Khacheridi
High jump: France's defender Patrice Evra (C) leaps to head the ball
Patrice Evra wa United Katikati juu nae alikuwepo na hapa alikuwa anaondosha mpira kama kawaida yake!!
Clinical: Ukraine's Andriy Yarmolenko scores a penalty past France's goalkeeper Hugo Lloris
Mchezaji wa Ukraine Andriy Yarmolenko akimfunga kipa Hugo Lloris kwa mkwacju wa penati dakika za mwishoni dakika ya 83.
VIKOSI:
Ukraine: Pyatov, Khacheridi, Shevchuk, Fedetskiy, Kucher, Yarmolenko, Stepanenko, Konoplyanka (Gusev 90), Rotan, Edmar (Bezus 76), Zozulya (Seleznyov 86). Subs Not Used: Koval, Dedechko, Tymoschuk, Mandzyuk, Morozyuk, Sydorchuk, Rakitskiy, Devic, Khudzamov. 
Sent Off: Kucher (90). 
Booked: Shevchuk,Fedetskiy,Kucher. 
Goals: Zozulya 61,Yarmolenko 83 pen. 
France: Lloris, Debuchy, Abidal, Koscielny, Evra, Nasri (Valbuena 80), Matuidi, Pogba, Giroud (Benzema 70), Ribery, Remy (Sissoko 64). Subs Not Used: Mandanda, Mavuba, Sakho, Cabaye, Clichy, Grenier, Sagna, Payet, Landreau. 
Sent Off: Koscielny (90). 
Booked: Giroud,Sissoko. 
Att: 67,732 
Ref: Cuneyt Cakir (Turkey).

No comments:

Post a Comment