Pages

Saturday, November 16, 2013

2014 WORLD CUP QUALIFIERS: PORTUGAL 1 v SWEDEN 0, CRISTIANO RONALDO AMFUNIKA ZLATAN IBRAHIMOVIC

BAO la dakika za mwishoni dakika ya 82 la kichwa la Cristiano Ronaldo leo limetosha kuwapa Portugal ushindi dhidi Sweden iliyokuwa ikiongozwa na Zlatan Ibrahimovic uliochezwa huko Lisbon Nchini Portugal. Kipindi cha kwanza kilimalizika timu zote zikiwa 0-0 hakuna aliyelifunga lango la mwenzake. Kipindi cha pili dakika ya 82 Cristiano Ronaldo anaipatia bao Portugal kwa kichwa baada ya kupokea krosi kama kona.Mshabiki wa Sweden wakishangilia baada ya kuwaona wachezaji wakiingia uwanjani muda mfupi kabla ya mtanange kuanza usiku huu. . Mchezaji wa Portugal na timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo na wa Sweden Zlatan Ibrahimovic wakipeana mkono kusalimiana kabla ya mtanange.


Cristiano Ronaldo akiendesha mpira huku akikimbizwa na mchezaji wa Sweden usiku huu LisbonTalisman: Zlatan Ibrahimovic's unique ability represents Sweden's greatest chance of World Cup qualification
Zlatan Ibrahimovic akiteta na mwamuzi wa mtanange huo Nicola Rizzoli 
Anger: Portugal forward Cristiano Ronaldo made no secret of his desire to win on an important night
Cristiano Ronaldo
Much at stake: And Zlatan Ibrahimovic, as usual, appears prepared to fight for victory
Zlatan Ibrahimovic leo ameonekana wa kulaumu tu na si wakutafuta mabao!!
Frustration: Cristiano Ronaldo was booked on a night in which he needed to inspire his team
Cristiano Ronaldo baada ya kupewa kadi ya njano kipindi cha kwanza!!
Midfield battle: Portugal's Fabio Coentrao (left) vies for possession with Sweden's Sebastian Larsson
Fabio Coentraoakichuana na mchezaji Sebastian Larsson kuutafuta mpira
Jumping for glory: Cristiano Ronaldo leaps higher than Sweden's Sebastian Larsson
Cristiano Ronaldo akiruka juu huku akikabwa na mchezaji wa Sweden Sebastian Larsson kwa kushikwa mkono ili asilete majanga langoni mwao !
VIKOSI:
Portugal: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe Alves, Meireles, Moutinho, Postiga, Nani, Ronaldo
Subs not used: D Carvalho, Almeida, R Carvalho, Pereira, Na Bangna, Moreira da Costa, Neto, Varela, Antunes, Josue, Bastos Pimparel, Macedo Lopes
Goal: Ronaldo 82
Sweden: Isaksson, Lustig, Olsson, Elm, Nilsson, Antonsson, Larsson, Kallstrom, Ibrahimovic, Elmander, Kacaniklic
Subs not used: Olsson, Svensson, Wiland, Gerndt, Granqvist, Wernbloom, Bengtsson,  Johansson, Toivonen, Durmaz, Zengin, Nordfeldt
Ref: Nicola Rizzoli

No comments:

Post a Comment