Pages

Sunday, November 17, 2013

SENEGAL 1 vs IVORY COAST 1, (Agg 2-4 On Agg.) KALOU AISAWAZISHIA BAO TIMU YAKE NA KUSONGA BRAZIL 2014 KOMBE LA DUNIA

Huko Casablanca, Morocco, Ivory Coast imefanikiwa kuungana na Mabingwa wa Afrika, Nigeria, na kuwa Nchi za kwanza toka Afrika kutinga kwenye Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil Mwakani baada ya kutoka Sare 1-1 na Senegal na kupita kwa Jumla ya Mabao 4-2. 

Ivory Coast waliifunga Senegal Bao 3-1 katika Mechi ya kwanza iliyochezwa Mjini Abidjan Mwezi Oktoba.Didier Drogba kulia na Salomon Kalou
Relief: Didier Drogba (right) gave away a penalty but Ivory Coast still managed to win on aggregate against Senegal, sparking wild scenes at the final whistle
Didier Drogba (kulia) akishangilia baada ya mechi kuisha usiku.
Clincher: Ex-Chelsea forward Salomon Kalou grabbed the equaliser - albeit on the counter attack
 Salomon Kalou akishangilia bao lake dakika za mwishoni baada ya kuisawazishia timu yake kwa kufanya 1-1 dakika za lala salama.

Ivory Coast internationals Salomon Kalou, Gervinho and Didier DrogbaWakipongezana!!
Jubilant: Fans of the Ivory Coast celebrate in Abidjan after the result
Mashabiki wa Ivory Coast Abidjan wakishangilia baada ya Nchi yao kushinda michuamno hiyo na kuwa moja ya Timu tano zitakazowakilisha Bara la Africa mwaka ujao Brazil 2014.
VIKOSI: 
SENEGAL: Coundoul; Souare (Diouf), Djilobodji, Mbodji, L.Sane; I.Gueye, S.Sane, Badji (Saivet); Sadio Mane, N'Doye (Sow), Papiss Cisse
Subs not used: C N'Diaye, Ndoye, Kouyate, Mbengue, Cissoko, A N'Diaye, Diame, Diop, Toure
Goal: Sow 78 (PEN)
IVORY COAST: Barry; Gosso, K.Toure, Bamba, Aurier; Zokora, Romaric, Y.Toure; Gervinho (Sio), Drogba, Kalou
Subs not used: Cisse, Gbohouo, Angoua, Akpa-Akpro, Diarrassouba, Traore, Bolly, Gradel, Bony, Doumbia
Goal: Kalou 90

No comments:

Post a Comment