Pages

Sunday, November 10, 2013

MBIO ZA MITUMBI ZAMALIZIKA MWANZA, WASHINDI WAPEWA ZAWADI ZAO

Mgeni rasmi, Kizito Bahati kwa niaba ya Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai mkoa wa Mwanza (RCO), Joseph Konyo(wa pili kushoto), akimkabidhi kitita cha fedha taslimu Shilingi 900,000/=,  Nahodha wa mtumwi, Costantine Lusajo kutoka Sengerema mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mbio za Mitumbwi zilizofanyika Katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki kwa uzamini wa TBL kupitia Bia ya Balaimi.Kulia ni Meneja mauzo wa Kanda, Andrew Mbwambo.

Mgeni rasmi, Kizito Bahati kwa niaba ya Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai mkoa wa Mwanza (RCO), Joseph Konyo(wa pili kushoto), akimkabidhi kitita cha fedha taslimu Shilingi 700,000/=,  Nahodha wa mtumwi, Taabu Daud kutoka Misungwi mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mbio za Mitumbwi zilizofanyika Katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki kwa uzamini wa TBL kupitia Bia ya Balaimi.Kulia ni Meneja mauzo wa Kanda, Andrew Mbwambo.

Washiriki wa mashindano ya  mbio za mitumbi  Wanaume, Mkoa wa Mwanza yanayodhaminiwa na Kampuni ya TBL kupitia Bia ya Balimi wakishindana yaliyofanyika katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.



Washiriki wa mashindano ya  mbio za mitumbi  Wanawake, Mkoa wa Mwanza yanayodhaminiwa na Kampuni ya TBL kupitia Bia ya Balimi wakishindana yaliyofanyika katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.


No comments:

Post a Comment