Pages

Tuesday, November 26, 2013

MANCHESTER UNITED ILPOBANWA MBAVU NA CARDIFF CITY NA KUTOKA SARE 2-2, BO-KYUNG KIM ASAWAZISHA BAO DAKIKA ZA LALA SALAMA

]MABINGWA wa England, Manchester United, jana wamelazimishwa Sare ya 2-2 Ugenini na Cardiff City baada ya Mchezaji wao alietoka Benchi, Bo-Kyung Kim, kusawazisha katika Dakika za Majeruhi.

Bao hilo la Bo-Kyung Kim lilikuja baada ya kuunganisha Frikiki ya Peter Whittingham na kupata Sare ya 2-2 kufuatia Man United kuongoza Bao 2-1 hadi Mapumziko.

Man United sasa wameshuka hadi Nafasi ya 6 wakiwa Pointi 7 nyuma ya Vinara Arsenal huku Mechi 12 za Ligi zikiwa zimeshachezwa.
Mechi zinazofuata kwa Man United ni Jumatano Ugenini huko Germany watakapocheza Mechi ya Kundi lao la UEFA CHAMPIONZ LIGI dhidi ya Bayer Leverkusen na Jumapili Desemba 1 wako White Hart Lane kucheza na Tottenham katika Mechi ya Ligi.

K Class: Bo Kyung Kim climbs to head Cardiff's last-minute equaliser during their 2-2 draw with Manchester United
Bo Kyung Kim akiruka juu kuisawazishaia bao Cardiff dakika za mwishoni kipindi cha pili kwa kufanya 2-2 dhidi ya Manchester United
Slide away: Kim celebrates his dramatic leveller
Kimakishangilia akiwa amevua jezi !!
In a heap: Rooney lands on top of Mutch after the kick
Rooney kwenye majanga!!
Lucky boy: Rooney, though, escaped with a yellow card
Rooney kwa bahati mwamuzi wa mtanange huo Neil Swarbrick alimpa ya njano!
Celebration: Rooney slides away after netting his eighth of the season
Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao United la kwanza
Pat's the way: Patrice Evra ghosts in at the near post to restore United's lead with an expert header
Patrice Evra nae alitupia bao la pili hapa!
Ev-an sent: The scorer is congratulated by Chris Smalling and Jonny Evans
Mchezaji Chris Smalling na  Jonny Evans wakimpongeza Evra baada ya kufunga bao!
VIKOSI:
Cardiff: Marshall 6, Theophile-Catherine 6, Caulker 6, Turner 5, Taylor 6, Cowie 6, Medel 7, Mutch 7 (Kim 77 6), Whittingham 7, Odemwingie 6 (Noone 65 6), Campbell 7 (Cornelius 84 6).
Subs not used: Hudson, Gunnarsson, Lewis, Bellamy.
Goals: Campbell 33, Kim 90
Booked: Caulker, Whittingham, Theophile-Catherine, Kim
Man United: De Gea 6, Smalling 6, Ferdinand 7, Evans 6, Evra 7, Fellaini 6, Cleverley 5, Valencia 6, Rooney 7, Januzaj 6 (Welbeck 68 6), Hernandez 6 (Giggs 73 6).
Subs not used: Anderson, Lindegaard, Nani, Young, Buttner
Goals: Rooney 15, Evra 45
Booked: Rooney Cleverley
Man of the match: Rooney
Attendance: 28,016
Referee: Neil Swarbrick

No comments:

Post a Comment