Pages

Wednesday, November 6, 2013

MANCHESTER CITY YAIFUNGA CSKA MOSCOW 5-2 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE, AGUERO NA NAVARO ALGREDO WAUA ETIHAD, PELLEGRINI ASIFU KIKOSI CHAKE

Man City, wakiwa kwao Etihad, waliicharaza CSKA Moscow Bao 5-2 na kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano toka Kundi D pamoja na Mabingwa Watetezi Bayern Munich ambao Jana waliifunga FC Viktoria Plzeň Bao 1-0. 
Bao za Man City zilifungwa na Sergio Aguero, Bao 2, na Navaro Algredo, Bao 3 na Bao za CSKA kufungwa na Seydou Doumbia.
Stunned: Sergio Aguero sent Manchester City into an early lead against their Russian rivals
Sergio Aguero akishangilia baaada ya kuwauwa Russian CSKA Moscow
Zoran ndie aliyemwangusha  David Silva ndani ya eneo hatari na hatimae dakika ya tatu CSKA Moscow kufungwa bao hilo la kwanza lililofungwa na Sergio Agüero na kufanya 1-0.
Sergio Aguero akiifungia bao la pili City baada ya kuachia shuti kali la yard 12 na kuifungia bao la pili katika dakika ya 20 kipindi cha kwanza. Mchezaji wa Man City hatari Aguerokushoto akipongezwa na David Silva  Mchezaji wa Manchester City Sergio Aguero akisukumwa na Aleksei Berezutski kabla ajafunga bao la pili
Aguero akishangilia bao lake.
Put it there: Negredo high-fives David Silva after scoring his first of the game
Negredo akitupia la tano na la mwisho na hapa alikuwa anapeana mkono na David Silva baada ya kufunga bao la kwanza.
Easy: Aguero picks out his strike partner for him to roll the ball into the net Aguero akimpa pasi safi Navaro na kufunga
Easy: Aguero picks out his strike partner for him to roll the ball into the net Majanga!!
Strong stance: One supporter makes his views clear on the unsavoury scenes that marred City's win in Moscow, when Yaya Toure was the subject of racist abuse from sections of the home support
Mashabiki wa City wakiwa wamebeba bango juu la kukomesha ubaguzi baada ya Mechi ya kwanza kukumbwa na ubuguzi huko Russia. Kipigo cha Jana kiliondolea mbali tuhuma hizo na kuzipotezea kwa mbali baada ya timu ya CSKA kutoonekana kama washindani wazuri.
Acknowledgment: Negredo salutes the home supporters after rolling home his second of the evening
Negredo akiwapa salamu mashabiki wake uwanjani Etihad
Poetry in motion: Nasri showed a deft touch to seek out the Spaniard for City's fourth
Ilikuwa rahisi sana ni kusogeza tuu!
One more: Negredo netted his hat-trick with a looping header
Negredo akiitimisha  hat-trick yake safi hapa!!
Joy: Costel Pantilimon celebrates City's fifth goal of the night in style
Kipa aliyeshika nafasi ya Hart - Costel Pantilimon akifurahia baada ya City kuwanyeshea mvua ya mabao
Benched: Joe Hart watched the match from the sidelines once again after losing his place to Pantilimon
Kipa Joe Hart aliuangalizia kwenye benchi.

RATIBA/MATOKEO
Jumanne 5 Nov 2013 

FC Shakhtar Donetsk v Bayer 04 Leverkusen
Real Sociedad de Fútbol v Manchester United FC
Juventus v Real Madrid CF
FC København v Galatasaray A.Ş.
Paris Saint-Germain v RSC Anderlecht
Olympiacos FC v SL Benfica
Manchester City 2 v CSKA Moscow 0*
FC Viktoria Plzeň v FC Bayern München

No comments:

Post a Comment