Pages

Saturday, November 23, 2013

LIVERPOOL WACHOMOA DAKIKA ZA MWISHONI, YATOKA SARE NA EVERTON 3-3

Bao la Dakika ya 89 kwa kichwa cha Daniel Sturridge alietokea Benchi limewanusuru Liverpool na kupata Sare ya Bao 3-3 walipocheza Goodison Park na Mahasimu wao wakubwa katika Dabi ya Merseyside.Red ahead: Philippe Coutinho pokes Liverpool in front

Mara mbili Liverpool waliongoza na mara mbili Everton wakarudisha na hatimae Romelu Lukaku kuifungia Everton Bao la 3 katika Dakika ya 82 na kuwapa matumani ya ushindi lakini Sturridge akasawazisha kwa kichwa baada ya frikiki.
Sare hii imewabakisha Liverpool Nafasi ya Pili sasa wakiwa Pointi 1 nyuma ya Arsenal lakini wao wamecheza Mechi moja zaidi na kuwapandisha Everton hadi Nafasi ya 5.
Perfect 10: Coutinho gave his side the ideal start inside five minutes at Goodison Park
Coutinho akishangilia kwa aina yake baada ya kufunga bao katika dakika ya 5 kwenye uwanja wa Goodison Park leo jumamosi kwenye ligi kuu.

Brazil-iant: Coutinho is mobbed by his team-mates
Coutinho akipongezwa na wenzie!

K Class: Kevin Mirallas steals in to level for Everton
Kevin Mirallas kwenye patashika na Steven Gerrard 

Short-lived: Liverpool's lead had lasted just three minutes when Mirallas struck
Mchezaji wa Everton  Mirallas akishangilia baada ya kufunga bao  dakika ya 8

Inch perfect: Luis Suarez curls his free-kick around the Everton wall and into the bottom corner to restore Liverpool's lead
Luis Suarezakiachia friikiki dakika ya 19 na kufunga goli.
VIKOSI:
EVERTON (4-3-3): Howard 8: Coleman 7, Jagielka 8, Distin 7, Baines 7 (Deulofeu 50mins 7): Barry 8, McCarthy 7, Pienaar 7: Barkley 8, Lukaku 9, Mirallas 8 (Osman 88).

Subs  not used: Robles (GK), Heitinga, Jelavic, Deulofeu, Naismith, Osman, Stones
Booked: Distin, Miralles, Barkley

Scorers: Miralles 8', Lukaku 72', 82'
LIVERPOOL (4-1-3-2): Mignolet 8: Johnson 6, Skrtel 7, Agger 6, Flanagan 7: Lucas 8 (Sturridge 79mins): Gerrard 8, Allen 5 (Moses 67mins 6), Henderson 8; Coutinho 6: Suarez 7
Subs  not used: Jones (GK), Toure, Luis Alberto, Sakho, Sterling
Booked: Lucas, Allen, Suarez

Scorers: Coutinho 5', Suarez 19', Sturridge 89'

No comments:

Post a Comment