Pages

Saturday, November 2, 2013

LIGI KUU VODACOM: MBEYA CITY YAIBAMIZA ASHANTI UNITED BAO 1-0

Timu ya Ashanti United ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya Mpira kuanza

Timu ya Mbeya City Fc ikiwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya mpira kuanza
Picha ya pamoja na waamuzi

Wakisalimiana Kabla ya Mechi kuanza

Hatari pale ... Kila mmoja anakimbilia mpira pale

Mpira unaendelea

Na mpira umekwisha

No comments:

Post a Comment