Pages

Monday, November 11, 2013

KIPA WA NEWCASTLE TIM KRUL ALIVYOIOKOA TIMU YAKE KWA MAPANDE YA SPURS NA KUIBUKA NA USHINDI WA BAO MOJA NA KUPANDA HADI NAFASI TISA JANA.


Kipa wa Newcastle Tim Krul akishangilia baada ya mtanange kuisha jana baada ya timu yake kuifunga Spurs bao 1-0, huku kipa huyo akiokoa mashuti kama 14 langoni mwake.Krul intention: Newcastle goalkeeper Tim Krul saves from Younes KaboulDutch of class: Krul was outstanding for Newcastle as he kept the Tottenham side outDutch of class: Krul was outstanding for Newcastle as he kept the Tottenham side outKipa wa Newcastle Tim Krul akiokoa
Krul ilibidi awe makini na kuwazuia Roberto Soldado, Paulinho, Christian Eriksen na Gylfi Sigurdsson wasifunge.
Newcastle hawakutengeneza nafasi nyingi lakini Remy alifunga baada ya kupokea pasi kutoka Yoan Gouffran na kumpita Kipa Brad Friedel ambae leo alikuwa langoni badala ya Kipa wa Spurs Nambari Wani, Hugo Lloris, kushauriwa na Madaktari kupumzika baada kupoteza fahamu alipogongana na Romelu Lukaku kwenye Mechi yao ya Ligi walipocheza na Everton Jumapili iliyopita.

Matokeo haya yameipandisha Newcastle hadi Nafasi ya 9 na Tottenham kubaki Nafasi ya 6.Remy akitupia nyavuni hapaRemy mbele ya mashabiki wao baada ya kuifungia bao Newcastle

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA BAADA YA RAUNDI YA 11 KUISHA. 
2013-2014 Barclays Premier League Table
  Overall
Home
Away
 
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 11 8 1 2 22 10
4 0 1 11 5
4 1 1 11 5
12 25
2 Liverpool 11 7 2 2 21 10
5 0 1 13 3
2 2 1 8 7
11 23
3 Southampton 11 6 4 1 15 5
4 2 0 11 2
2 2 1 4 3
10 22
4 Chelsea 11 6 3 2 18 10
5 1 0 14 5
1 2 2 4 5
8 21
5 Manchester United 11 6 2 3 18 13
3 2 1 8 5
3 0 2 10 8
5 20
6 Everton 11 5 5 1 14 10
3 2 0 6 3
2 3 1 8 7
4 20
7 Tottenham Hotspur 11 6 2 3 9 6
3 1 2 5 5
3 1 1 4 1
3 20
8 Manchester City 11 6 1 4 28 12
5 0 0 20 2
1 1 4 8 10
16 19
9 Newcastle United 11 5 2 4 15 16
2 2 1 7 5
3 0 3 8 11
-1 17
10 West Bromwich Albion 11 3 5 3 12 12
2 1 2 6 4
1 4 1 6 8
0 14
11 Aston Villa 11 4 2 5 11 12
2 0 4 6 9
2 2 1 5 3
-1 14
12 Hull City 11 4 2 5 9 14
3 2 0 4 1
1 0 5 5 13
-5 14
13 Swansea City 11 3 3 5 15 15
1 3 2 11 11
2 0 3 4 4
0 12
14 Cardiff City 11 3 3 5 9 15
2 1 2 5 5
1 2 3 4 10
-6 12
15 Norwich City 11 3 2 6 9 21
2 2 2 7 7
1 0 4 2 14
-12 11
16 West Ham United 11 2 4 5 9 11
1 1 3 5 7
1 3 2 4 4
-2 10
17 Stoke City 11 2 4 5 10 14
1 3 1 3 3
1 1 4 7 11
-4 10
18 Fulham 11 3 1 7 10 19
1 1 3 5 9
2 0 4 5 10
-9 10
19 Sunderland 11 2 1 8 8 22
2 0 4 6 10
0 1 4 2 12
-14 7
20 Crystal Palace 11 1 1 9 6 21
1 1 4 4 10
0 0 5 2 11
-15 4

No comments:

Post a Comment