Mkongwe Rafael van der Vaart alifunga bao dakika ya 12 na akamsetia Arjen Robben kufunga la pili dakika ya 38. Lakini Kelsuke Honda akaisaidia Japan kupambana kupata sare. Japan ilipata bao lake la kwanza kabisa katika historia ya mechi zake na Uholanzi kupitia kwa Yuga Osako dakika ya 43 na Honda akasawazisha dakika ya 60.
Kikosi cha Japan kilikuwa: Nishikawa, Uchida/Sakai dk77, Yoshida, Konno, Nagatomo/Sakai dk72, Hasebe/Endo dk46, Yamaguchi, Okazaki, Honda, Kiyotake/Kagawa dk46 na Osako/Kakitani dk72.
Uholanzi: Cillessen, Janmaat, de Vrij, Vlaar, Blind, Nigel de Jong/Willems dk46, Strootman, van der Vaart/de Guzman dk78, Robben, Lens na Siem de Jong/Depay dk69.
Keisuke Honda akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kutoka sare ya 2-2 |
No comments:
Post a Comment