Pages

Wednesday, November 27, 2013

CHELSEA YASONGA MBELE UEFA CHAMPIONS LEAGUE LICHA YA KIPIGO CHA 1-0 TOKA KWA BASEL

basleKipa wa Chelsea akifungwa bao la kizembe na mchezaji wa FC Basel Mohamed Salahn katika kipindi cha pili dakika ya lala salama dakika ya 87 baada ya kupewa ushirikiano na Fabian Schär.

Salah
Mohamed Salahn diye muuaji wa Blues!! na hapa alikuwa anashangilia bao lake
Ride the tackle: Eden Hazard (centre) escapes a challenge from Basle's Fabian Schaer (left)
Eden Hazard akikatiza mbele ya mtu mbili kushoto ni  Fabian Schaer
Duel: Chelsea playmaker Willian (right) tries to win the ball from Basel's Swiss defender Kay Voser
Willian na Kay Voserkwenye patashika kutafuta mpira!!
Up, up and away: Chelsea's Gary Cahill (right) jumps for the ball with Basel midfielder Fabian Frei
Mchezaji wa Chelsea Gary Cahillakiruka kutwaa mpira dhidi ya mchezaji midfielder wa Basel Fabian Frei 
Tussle: Cesar Azpilicueta (right) aims to divert the ball away from an onrushing Mohamed Salah
Cesar Azpilicueta akikinga mpira mguuni mwake dhidi ya Mohamed Salah
Knock: Samuel Eto'o lies on the pitch injured before being taken off on a stretcher
Samuel Eto'o chini ameondolewa uwanjani na miti!
Stetch it out: Chelsea's Branislav Ivanovic (left) fights for the ball against Valentin Stocker
Mchezaji wa  Chelsea Branislav Ivanovic akigombea mpira na mchezaji wa Basel Valentin Stocker
Wrapped up: Blues boss Jose Mourinho grows frustrated at his side's poor attacking efforts
Kocha wa Blues  Jose Mourinho kama kawaida yake kupuuzia kiwango!!
VIKOSI:
Basle: Sommer; Voser, Schär, Ivanov, Xhaka (Ateti 71); Serey Die; Salah, Elneny, Frei, Stocker (Sauro 90); Streller (Sio 78)
Subs: Vailati, P Degen, D Degen, Delgado
Chelsea: Cech; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Mikel, Lampard; Ramires, Oscar (Hazard 55), Willian (De Bruyne 86); Eto'o (Torres 42)
Subs: Schwarzer, Cole, Mata, Schurrle

No comments:

Post a Comment