Pages

Thursday, October 17, 2013

WORLD CUP QUALIFIER: ENGLAND 2 v POLAND 0, ROONEY NA STEVEN GERRARD WAIPELEKA ENGLAND BRAZIL!!

Steven Gerrard akishangilia bao lake dakika ya 88
Bao la pili limefungwa na Kapteni Steven Gerrard dakika za lala salama dakika ya 88 baada ya kuwachambua mtu tatu mpaka langoni nakutupia!!Wayne Rooney akishangilia bao kwa an=ina yake baada ya kuifunga Poland kabla ya mapumzikoWayne Rooney akiwachoma Poland kwa kichwa. Chris Smalling na Jakub BlaszczykowskiJoe Hart akijiandaa dhidi Robert Lewandowski Dakika ya 41 kipindi cha kwanza Leighton Baines ameachia pasi safi kama kona na hatimae Welbeck na Rooney wakaruka juu Rooney akafanikiwa kuupata mpira huo na kutupia kwa kichwa. Bao la pili limefungwa na Kapteni Steven Gerrard dakika za lala salama dakika ya 88 baada ya kuwachambua mtu tatu mpaka langoni nakutupia~!!Meneja wa England  Roy Hodgson akioneka kwenye nafasi yake kwenye uwanja wa Wembley usiku huu. Mchezaji wa Poland Robert Lewandowski akichuana na Steven Gerrard Kipa wa England  Joe Hart kidogo afungwe na Robert Lewandowski shuti lake limepita nje kidogo!!Danny Welbeck akikosa bao baada ya kusogezea pasi safi na Leighton BainesWachezaji wa  England wakijiandaa na mtanange wao usiku huuMashabiki wa  England kwenye uwanja wa  Wembley usiku huuMashabiki wa Poland nao  Wembley Mashabiki wa Poland walivyooneka wakati wa wimbo wa taifa Wembley Taswira usiku huu uwanjani  WembleyVIKOSI:
England: Hart, Smalling, Cahill, Jagielka, Baines, Carrick, Gerrard, Townsend, Rooney, Welbeck, Sturridge.
Subs: Ruddy, Jones, Gibbs, Wilshere, Lampard, Milner, Barkley, Defoe, Sterling, Lambert, Forster.
Poland: Szczesny, Wojtkowiak, Jedrzejczyk, Glik, Celeban, Blaszczykowski, Mierzejewski, Krychowiak, Sobota, Mariusz Lewandowski, Robert Lewandowski.
Subs: Boruc, Wasilewski, Jodlowiec, Polanski, Zielinski, Klich, Wawrzyniak, Peszko, Sobiech, Rzezniczak, Fabianski.
Referee: Damir Skomina (Slovenia)

No comments:

Post a Comment