Pages

Wednesday, October 23, 2013

UEFA CHAMPIONS: SCHALKE 0 v CHELSEA 3, TORRES NA EDEN HAZARD WAIFANYIA KITU MBAYA SCHALKE 04!!


Fernando Torres akitupia kwa kichwa na kuipa goli timu yake Chelsea baada ya kupigwa kona na yeye kubahatika kuwa eneo hilo.

Wachezaji wa Chelsea wakipongezana na kumpongeza Torres baada ya kuwapa bao na kufanya 0-1 dhidi ya Schalke.
Dakika ya 68 kipindi cha pili Fernando Torres anaifungia Chelsea bao lake la pili na kufanya 0-2.
Dakika za lala salama dakika ya 87 Eden Hazard akaifungia bao jingine Blues na kuongoza kwa bao 0-3 dhidi ya timu ya Nyumbani Schalke ambayo haikuambulia hata la kufutia machozi.

No comments:

Post a Comment