Pages

Tuesday, October 22, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: YAINGIA MECHI ZA TATU ZA MAKUNDI, CHELSEA, ARSENAL, BARCELONA, AC MILAN KIBARUANI UEFA LEO


LIGI ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) hatua ya makundi inaendelea leo kwenye viwanja mbalimbali ikishuhudiwa miamba 16 ikishuka dimbani kusaka pointi tatu. 
Pamoja na michezo hiyo 16 lakini mechi ambazo zitaangaziwa zaidi ni ile kati ya Arsenal itakayovaana na Borussia Dortmund utakaopigwa kwenye Uwanja wa Emirates wakati mchezo mwingine ni kati ya AC Milan itakapokuwa mwenyeji wa FC Barcelona kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza. 
Kikosi cha Jose Mourinho, Chelsea kitakuwa ugenini kuikabili FC Schalke 04 kwenye Uwanja wa Veltins Arena wakati Marseille watakuwa wenyeji wa Napoli katika dimba la Vlodrome.

Mchezaji wa Arsenal defender Per Mertesacker kushoto akiwa mazoezini na wenzie kujiweka sawa kwa mtanange wa Uefa usikuOzil kulia
Listen up: And he gathers his players round for a chat
Nisikilizeni!  wachezaji wa Gunners wakimzunguka kocha wao Arsene wenger kumsikiliza kwa alilo nalo kwao muhimu....Ushindi ni muhimu kwetu tupo nyumbani kwetu!!
Backup: Olivier Giroud's understudy Nicklas Bendtner (left) trained alongside Mertesacker
Olivier Giroud, Nicklas Bendtner na  Mertesacker
Strength in depth: Arsenal embark upon a tough Champions League fixture against Borussia Dortmund
Arsenal kazi ipo ni Arrsenal vs Borussia Dortmund usiku.
NAO DORTMUND WAKIJIFUA
Main man: Lewandowski has proved lethal in front of goal over the past few seasons for Dortmund
Lewandowski  nae akiwa na kikosi cha  Dortmund kwenye mazoezi yao
Power struggle: Borussia Dortmund's stars were at the Emirates ahead of the blockbuster clash
Wachezaji wa  Borussia Dortmund wakijifua kwenye uwanja wa Emirates
Main man: Jurgen Klopp, who will be banned from the touchline, hopes to topple Arsenal
Kocha Jurgen Klopp akiangalia vijana wake kwenye mazoezi
In line: Marco Reus is likely to start for Dortmund on Tuesday night
Marco Reuswenda akaanza kucheza kwenye mchezo wao leo usiku Dortmund wakakaribishwa
Bitter pill: Lewandowski sits on the pitch at Wembley after Dortmund lost last season's final to Bayern Munich
Lewandowski

RATIBA
Jumanne 22 Oct 2013

FC Steaua Bucureşti v FC Basel 1893
FC Schalke v Chelsea FC
Arsenal FC v Borussia Dortmund
Olympique de Marseille v SSC Napoli
FC Porto v Football Club Zenit
FK Austria Wien Club v Atlético de Madrid
Celtic FC v AFC Ajax
AC Milan v FC Barcelona

*Mitanange yote saa 3:45 usiku

No comments:

Post a Comment