Pages

Thursday, October 24, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 2 v JUVENTUS 1, CRISTIANO RONALDO AIPA USHINDI REAL..

Cristiano Ronaldo dakika ya 4 anaipatia timu yake bao, Dakika ya 22 Fernando Llorente mchezaji wa Juve anaisawazishia bao.
Cristiano Ronaldo anaipatia bao jingine Real Madrid kwa mkwaju wa penati Dakika ya 28 na kufanya mambo yaende safi upande wao dhidi ya Juventus.
  Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la penati baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Juventus

No comments:

Post a Comment