Pages

Wednesday, October 23, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CELTIC 2 v AJAX AMSTERDAM 1


Celtic wakiwa kwao leo usiku kwenye Klabu bingwa Uefa Champions ligi wameifunga timu ya Ajax bao 2-0 bao zilizofungwa  na Baram Kayal dakika ya 54 na jingine ni kwa mkwaju wa penati dakika ya 45 likifungwa na James Forrest.
James Forrest (kushoto) mchezaji matata wa  Celtic akipongezwa na  Virgil van Dij
Beram Kayal ndie aliyeifunga bao la pili  Ajax katika dakika ya 54
Kayal akishangilia kuipa goli Celtic na kuhakikisha Celtic inashinda
*Bao la pekee la Ajax ni dadikia za majeruhi ya 90+4


RATIBA/MATOKEO
Jumanne 22 Oct 2013

FC Steaua Bucureşti 1 v  Basel 1
FC Schalke 0 v Chelsea 4
Arsenal 1 v Borussia Dortmund 2
Olympique de Marseille 1 v  Napoli 2
FC Porto 0 v Zenit 1
FK Austria Wien Club 0 v Atlético de Madrid 3
Celtic 2 v AFC Ajax 1
AC Milan 1 v Barcelona 1

No comments:

Post a Comment