Celtic
wakiwa kwao leo usiku kwenye Klabu bingwa Uefa Champions ligi
wameifunga timu ya Ajax bao 2-0 bao zilizofungwa na Baram Kayal dakika
ya 54 na jingine ni kwa mkwaju wa penati dakika ya 45 likifungwa na
James Forrest.

James Forrest (kushoto) mchezaji matata wa Celtic akipongezwa na Virgil van Dij

Beram Kayal ndie aliyeifunga bao la pili Ajax katika dakika ya 54

Kayal akishangilia kuipa goli Celtic na kuhakikisha Celtic inashinda
*Bao la pekee la Ajax ni dadikia za majeruhi ya 90+4
RATIBA/MATOKEO
Jumanne 22 Oct 2013
FC Steaua Bucureşti 1 v Basel 1
FC Schalke 0 v Chelsea 4
Arsenal 1 v Borussia Dortmund 2
Olympique de Marseille 1 v Napoli 2
FC Porto 0 v Zenit 1
FK Austria Wien Club 0 v Atlético de Madrid 3
Celtic 2 v AFC Ajax 1
AC Milan 1 v Barcelona 1
Post a Comment