Pages

Tuesday, October 22, 2013

MUDA MFUPI UJAO CHELSEA KUMKOSA ASHLEY COLE NA HANTELAAR.

  • Venue: Veltins Arena
  • Date: Tuesday, 22 October
  • Kick-off: 19:45 BST
Mlinzi wa kushoto wa Chelsea Ashley Cole hajasafiri na wenzake kuelekea nchini Ujerumani baada ya kushindwa kuponya maumivu yake ya mbavu kwa wakati. 
Hili linakuja wakati Cole akionekana jana akifanya mazoezi na kikosi cha timu yake ambapo sasa anatarajiwa kurejea uwanjani katika mchezo wa Jumapili dhidi ya City.
Mshambuliaji Andre Schurrle (mwenye maumivu ya mguu) ameelekea nchini Ujerumani na ni miongoni kwa wachezaji 21 ndani ya kikosi cha Chelsea.
Kevin-Prince Boateng (mwenye maumivu ya mguu) anatarajiwa kurejea katika kikosi dhidi ya Schalke lakini Klaas-Jan Huntelaar na Jefferson Farfan ni miongoni mwa wale wajeruhi wa muda mrefu wa kikosi cha Jose Mourinho.
Chelsea wana kazi ya kuwasimamisha wajerumani ambao wanaongoza kundi E wakiwa na alama sita huku wao wakina na alama tatu. 
Kocha wa Schalke Jens Keller ameweka wazi kuwa mabingwa hao wa mwaka 2012 kuwa ni miongoni mwa vikosi vinavyopewa nafasi ya kutwaa taji lakini amesisitiza kuwa kikosi chake hakina sababu ya kuwa na hofu.
"Ukiangalia vizuri kundi E, sambamba na matokeo yetu ya hivi karibuni ndani ya Bundesliga, inatupa hali ya kujiamini "
Keller hatamtumia mlinda mlango wake namba moja, who should also be able to restore first-choice goalkeeper Timo Hildebrand pamoja na kiungo wake Jermaine Jones kutokana na kusimamishwa kwa miezi sita kufuatia kukumbwa na maumivu ya mguu

No comments:

Post a Comment