Pages

Monday, September 2, 2013

WEMA SEPETU AMTOA MACHOZI MAMA KANUMBA KWENYE UZINDUZI WA FOOLISH AGE


Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu akimtunza mama yake Kanumba Flora Mtegoa a.k.a. Mama mkwe wake mara baada ya mama huyu kumfwata msanii huyo wakati alipokuwa akicheza muziki uliokuwa ukitumbuizwa na Machozi Bendi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyoandaliwa na msanii mwenzao Elizabety Michael 'Lulu'
Wema Sepetu akimfuta machozi mama yake Kanumba, Flora alijikuta akishindwa kuzuia hisia zake baada ya kutunza kiasi cha fedha cha kutosha kabisa kwa matumizi hata ya wiki nzima na mwanadada huyo
Wema akionyesha heshima kwa kumpigia magoti mwanamama huyo ambaye alishawahi kuwa mkwe wake kipindi hicho

No comments:

Post a Comment