Jumanne 1 Oktoba 2013
FC Basel 1893 v FC Schalke 04
FC Steaua Bucureşti v Chelsea FC
Borussia Dortmund v Olympique de Marseille
Arsenal FC v SSC Napoli
Football Club Zenit v FK Austria Wien
FC Porto Club v Atlético de Madrid
AFC Ajax v AC Milan
Celtic FC v FC Barcelona
Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň
*Jumanne Oktoba 1 na Jumatano Oktoba 2
Mashindano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UCL, ambayo sasa yapo hatua za
Makundi yakiwa na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ambako Timu 2 za juu
husonga na kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 32, yataingia Mechi zake za
pili baada ya kuanza hapo Septemba 17.
No comments:
Post a Comment