Pages

Monday, August 19, 2013

TOTTENHAM YAIFUNGA CRYSTAL PALACE 1-0 VIJANA WA AVB' WAPETA BILA YA BALE! SOLDADO AKIFUNGA BAO LAKE LA KWANZA!

  Leo kwenye ligi kuu England Spurs wakicheza ugenini bao la dakika ya 50 la mkwaju wa penati limewapa ushindi wa alama tatu muhimu dhidi ya timu iliyopanda ligi msimu huu mpya wa 2013/14 Crystal palace. Tottenham walicheza bila ya Staa wao Gareth Bale ambae anavumishwa kutaka kwenda Real Madrid lakini hawakupata usumbufu mkubwa kwenye Mechi hii toka kwa Crystal Palace ambao wamerudi tena Ligi Kuu tangu waondoke Mwaka 2005.Soldado akichonga penati Andre Villas-Boas akiwapa maelekezo wachezaji wake leo hii jioni

VIKOSI:
Crystal Palace: Speroni, Ward, Gabbidon, Delaney, Moxey, Jedinak, Dikgacoi, Dobbie (Williams 67), Garvan (Chamakh 67), Wilbraham (Phillips 67), Gayle.Subs: Marange, Alexander, Campana, O'Keefe.
Booked: Jedinak.

Spurs: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Rose (Kaboul 86), Sigurdsson, Paulinho, Dembele (Capoue 57), Lennon, Soldado (Defoe 83), Chadli.Subs: Naughton, Townsend, Friedel, Carroll.
Goal: Soldado 50pen.

Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)

No comments:

Post a Comment