Pages

Monday, August 19, 2013

SADIQ MOMBA ALISHA KWA KO RAUNDI YA 10 PAMBANO LA UBINGWA WA TAIFA

Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese jana
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akimshambulia Mwalimu Alon wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita Mnyeke alishinda kwa pointi
Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambano wao
Lucas Mkenya akivalishwa mkana baada ya kumdunda mwenzi
Bondia Sadick Momba (kushoto) akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Taifa, Momba alishinda K,O raundi ya kumi
Bondia Sadick Momba kulia akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa, Momba alishinda K,O raundi ya kumi.

No comments:

Post a Comment