Pages

Saturday, August 17, 2013

MOMBA NA MWAMAKULA WATUNISHIANA MISULI, KUZIPIGA KESHO JUMAPILI AGOSTI 18


Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos Mwamakula baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa friends corner ManzeseDar es salaam

Bondia Habibu Pengo kushoto akitunishiana misuli na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofaNyika Manzese Dar es salaam siku ya jumapili.

No comments:

Post a Comment