Pages

Sunday, August 25, 2013

MONALISA AMWAGIWA POMBE NA WAFANYAKAZI WA TIMES FM.


Yvonne Cherryl(Monalisa) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood juzikati alifanyiwa surprise ya kumwagiwa Shampeni na wafanyakazi wa radio Times fm ya jijini Dar es salaam. Siku hiyo wafanyakazi hao walimpigia simu Monalisa wakimtaka aende ufukwe wa Coco Beach na yeye kwenda akijua ameitiwa kampani ya kawaida tu. Lakini alipofika akaanza kumwagiwa shampeni na maji huku wakimwimbia wimbo wa hAappy Birthday kumbe ilikuwa siku yake ya kuzaliwa actress huyo akitimiza miaka 32

No comments:

Post a Comment