Pages

Wednesday, August 14, 2013

MECHI ZA KIRAFIKI zA KIMATAIFA LEO, BAFANA BAFANA v NIGERIA, ENGLAND v SCOTLAND!!

JUMATANO, Agosti 14 ni Siku ya Kalenda ya FIFA kwa Mechi za Kimataifa na zipo Mechi kadhaa za Mvuto lakini ili yenye ushindani wa Jadi ni ile itakayochezwa Uwanja wa Wembley Jijini London kati ya England na Scotland.Gemu hii ya England v Scotland ni sehemu ya Sherehe za FA, Chama cha Soka England kusheherekea Miaka 150 ya uhai wake na Mechi hii itakuwa ya 111 kati ya Mataifa hayo, ya kwanza ilikuwa Mwaka 1872 na baada ya hapo walikutana kila Mwaka hadi 1989.Mechi ya mwisho kwa England na Scotland kucheza ni Novemba 1999 ambayo Scotland walishinda 1-0 Uwanjani Wembley katika Mechi ya Mchujo ya EURO 2000 lakini ni England waliofuzu kwenda Fainali hizo kwa kushinda Bao 2-0 katika Mechi ya kwanza na kupita kwa Jumla ya Bao 2-1.

Mwaka 1977, Washabiki wa Scotland, maarufu kama ‘Tartan Army’, maraa baada ya ushindi Uwanjani Wembley dhidi ya England walivamia Uwanja huo na kuuchimbachimba na kisha kulivunja Goli moja
Katika Mechi nyingine, Mabingwa wa Dunia, Spain, watakuwa ugenini kucheza na Ecuador wakati Brazil watakuwa ugenini kucheza na Uswisi.
Wayne Rooney wa pili kutoka kulia akiwa na wachezaji wenzake wakipewa somo na kocha waoWayne Rooney
Kocha Roy HodgsonFit, Wayne? Roy Hodgson keeps his eye on Rooney during the training sessionRooney na Jermain Defoe wakiteta jambo na kufurahi hapa...
Kwa Afrika, ipo ‘Mechi ya Madiba’ itakayochezwa huko Moses Mabhida Stadium Mjini Durban katika ya South Africa na Mabingwa wa Afrika, Nigeria, Mechi ambayo Mshindi anapewa Taji la Nelson Mandela Challenge.
Moses Mabhida Stadium Mjini DurbanMoses Mabhida Stadium Mjini Durban mwonekano wa ndani
MECHI ZA MVUTO
21:00 Zambia v Senegal
21:00 Turkey v Ghana
21:15 South Africa v Nigeria
21:45 Switzerland v Brazil
21:45 Italy v Argentina
22:00 Belgium v France
22:00 England v Scotland
22:30 Portugal v Netherlands
23:00 Ecuador v Spain     

HAPATOSHI LEO HII...
Wayne Rooney v Grant Hanley
Can Blackburn’s young defender Hanley control England’s rampaging bull as he attempts to unload a summer of frustration upon the Scots?
Rooney will want to prove both his fitness and his ability after so much speculation regarding his future.
Jack Wilshere
Jack Wilshere v Scott Brown
England’s great hope for the future will be under orders to break forward and supplement the attack but Brown has a wealth of experience anchoring the midfield for Celtic and Scotland.
He captained the Scottish champions last season as they played Barcelona in the group stages of the Champions League so, having faced the likes of Xavi and Andres Iniesta, he will think he knows how to handle Arsenal’s midfield maestro.
Chris Smalling v Kenny Miller
Roy Hodgson has great faith in Smalling but the Manchester United defender needs a consistent season, free from injury, before he can be considered a regular starter.
A composed performance against a team not renowned for their free-scoring football would be a good start but Miller will make it tough for him.
POSSIBLE LINE-UPS
England: (4-3-3) Hart, Johnson, Cole, Smalling, Jagielka, Cleverley, Gerrard, Wilshere, Walcott, Rooney, Welbeck
Scotland: (4-5-1) McGregor, Hutton, Whittaker, Hanley, Martin, McArthur, Brown, Morrison, Snodgrass, Maloney, Miller


RATIBA KAMILI MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFKI
Jumatano Agosti 14
13:20 Japan v Uruguay
14:00 South Korea v Peru
15:00 Tajikistan v India
16:30 Rwanda v Malawi
16:45 Indonesia v Philippines
17:30 Egypt v Uganda
18:30 Belarus v Montenegro
19:00 Azerbaijan v Malta
19:00 Estonia v Latvia
19:00 Finland v Slovenia
19:45 Chile v Iraq
20:00 Moldova v Andorra
20:30 Luxembourg v Lithuania
21:00 Zambia v Senegal
21:00 Libya v Central African Republic
21:00 Turkey v Ghana
21:00 Romania v Slovakia
21:00 Sweden v Norway
21:00 Colombia v Serbia
21:15 Liechtenstein v Croatia
21:15 South Africa v Nigeria
21:30 Bosnia And Herzegovina v United States
21:30 Austria v Greece
21:30 Hungary v Czech Republic
21:45 Albania v Armenia
21:45 Switzerland v Brazil
21:45 Macedonia v Bulgaria
21:45 Germany v Paraguay
21:45 Poland v Denmark -
21:45 Italy v Argentina
21:45 Wales v Ireland
22:00 Gabon v Cape Verde
22:00 Tunisia v Congo
22:00 Belgium v France
22:00 England v Scotland
22:30 Algeria v Guinea
22:30 Portugal v Netherlands
22:45 Iceland v Faroe Islands
23:00 Morocco v Burkina Faso
23:00 Ecuador v Spain
Alhamisi Agosti 15
2:30   Venezuela v Bolivia
3:00   Dominican Republic v Costa Rica
4:00   Mexico v Ivory Coast

No comments:

Post a Comment